Breaking News

Your Ad Spot

Dec 27, 2015

RAIS DKT.JOHN MAGUFULI AKUTANA NA RAIS WA ZANZIBAR DKT.ALI MOHAMMED SHEIN

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi, Dkt. Ali Mohammed Shein Ikulu jijini Dar es Salaam leo Desemba 26, 2015. Dkt. Magufuli amekutana na Dkt.Shein siku chache baada ya kufanya mazungumzo na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, ambaye pia alikuwa mgombea kiti cha Rais wa visiwa hivyo Maalim Seif Sharif Hamad, mada kuu ilikuwa ni kuzungumzia mdororo wa kisiasa visiwani humo.(Picha na Ikulu)
Dkt.Magufuli akimlaki Mgeni wake
Dkt.Magufuli akimsindikiza Mgeni wake baada ya mazungumzo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages