Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayeshughulikia
Sekta ya Mawasiliano, Profesa Faustin Kamuzora (wa pili kulia)
akizungumza katika hafla fupi kabla ya makabidhiano ya msaada wa Gari
kwa ajili ya mradi wa ushirikiano wa kuongeza uzowefu uliyofanyika jana
jijini Dar es Salaam. ambapo lilikabidhiwa na Balozi wa Finland Nchini
Tanzania. (PICHA ZOTE NA KHAMIS MUSSA)
Balozi wa Finland
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269