Mtafiti Mkuu wa Jukwaa la Bioteknolojia
Tanzania kutoka Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech) Dk.
Emmarold Mneney (kushoto), akizungumza na wakulima wa Kijiji cha Salama
kilichopo Kata ya Ng'haya baada ya kupokea changamoto zao katika
mkutano uliofanyika kijijini hapo juzi.
Mtafiti Kiongozi wa
Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech) Dk. Nicholaus Nyange
(kulia), akizungumza na wakulima wa Kijiji cha Salama kilichopo Kata ya
Ng'haya kuhusu matumizi ya Bioteknolojia.
Mratibu Mkuu wa Jukwaa la Bioteknolojia
Afrika, Daniel Utunge kutoka nchini Kenya (kulia), akiwa katika
mafunzo hayo ya matumizi ya Bioteknolojia katika kilimo yaliyofanyika
kijiji cha Salama wilayani Magu. Kushoto ni Mwanahabari wa gazeti la
majira jijini Mwanza.
Mtafiti Mkuu wa
Jukwaa la Bioteknolojia Tanzania kutoka Tume ya Taifa ya Sayansi na
Teknolojia (Costech) Dk. Emmarold Mneney (kulia), akisisitiza jambo
wakati akizungumza na wakulima wa Kijiji cha Bugatu wilayani Magu mkoani
Mwanza baada ya kupokea changamoto zao za kilimo.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269