Rais Dkt. Magufuli akifanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa
ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume hiyo . Ramadhan Kailima.
Rais Dkt. Magufuli akimkaribisha Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. Magufuli
akiagana na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva
Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na IKULU.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269