Waziri katika Ofisi ya Rais, Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora,
George Simbachawene akizungumza kwa niaba ya Rais John Pombe Magufuli
wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Sarah Dumba katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Magogoni Kigamboni Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya Longido Mkoa wa Arusha, Ernest Kahindi, akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Sarah Dumba
Mwili wa Sarah Dumba ukiingizwa kanisani
Mkuu
wa Wilaya ya Temeke Sophia Mjema (wa kwanza kushoto) akitoa heshima za
mwisho kwa marehemu Sarah Dumba, anayefuata ni Mkuu wa Mkoa wa Njombe
Dk. Rehema Nchimbi na Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Betty Mkwassa
Baba mzazi wa marehemu Sarah Dumba, Mzee Philip Dumba akitoa heshima za mwisho kwa mwanaye.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269