RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA MABALOZI WA NCHI MBALI MBALI ZA AFRIKA LEO
Rais
mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete, akizungumza na Mabalozi
mbalimbali wa Afrika wanaoziwakilisha nchi zao nchini, walipofika
nyumbani kwake jijini Dar es Salaam leo kumpa mkono wa pole kutokana na
kifo cha Kaka yake, Suleima Kikwete, kilichotokea hivi karibuni.
Rais
mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete (katikati), akifurahi jambo na
Mabalozi mbalimbali wa Afrika wanaoziwakilisha nchi zao nchini,
walipofika nyumbani kwake jijini Dar es Salaam leo kumpa mkono wa pole
kutokana na kifo cha Kaka yake, Suleima Kikwete, kilichotokea hivi
karibuni. (PICHA NA KASSIM MBAROUK).
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269