WAZIRI MKUU MAJALIWA AENDELEA NA ZIARA YAKE MKOANI KAGERA
Waziri
Mkuu, Kassim majaliwa akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kwanda cha
maji cha Bunena Spring Water akiwa akika ziara ya mkoa wa Kageza Machi
13, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mradi mkubwa wa maji wa Bunena
mjini Bukoba ulio chini ya mamlaka ya maji ya mji huo BUWASA akiwa
katika siku ya kwanza ya ziara ya mkoa wa Kagera machi 13, 2016. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mlkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua kiwanda cha Maji ya Bunena
Spring Water kilichopo mjini Bukoba Machi 13, 2016. Alikuwa katika sik
ya kwanza ya ziara ya mkoa wa Kagera.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua uzalishaji wa maji ya kiwanda
cha maji ya Bunena Spring Water cha Bukoba mjini akiwa aktika siku ya
kwanza ya ziara ya mkoa waKagera Machi, 13, 2016. Kulia kwake ni Askofu
wa jimbo la Bukoba,Method Kilaini.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipewa maelezo mafupi kuhusiana na maji
hayo ya kiwanda cha maji ya Bunena Spring Water cha Bukoba mjini akiwa
aktika siku ya kwanza ya ziara ya mkoa waKagera Machi, 13, 2016. Kulia
kwake ni Askofu wa jimbo la Bukoba,Method Kilaini. (Picha na Ofisi ya waziri Mkluu)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269