Mwili
wa Dereva ambapo jina lake halikupatikana maramoja, ukiopolewa toka
Bahari ya Hidi na waokoaji wa Kikozi cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji la
Tanzania, wakishirikiana na vikosi kutoka Nevi, Bandari, Polisi Marini.
(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Mwili wa Dereva ambapo jina lake halikupatikana maramoja,ukiingizwa katika Gari
Meya
wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita (kushoto) akisalimiana na Kamishna
Msaidizi wa Jeshi la Polisi Lucas Mkondya (wapili kulia) mara alipofika
katika eneo la tukio la kuzama watu wawili katika Bahari ya Hindi eneo
la Ferry Magogoni Dar es Salaam leo
Wananchi wakipita huku wakitaka kujua kinacho endelea eneo la tukio
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269