Balozi
wa Tanzania nchini Kenya, Dk. John Haule akipiga picha ya pamoja na
wachezaji na viongozi wa timu ya soka ya Tanzania baada ya kuzungumza
nao na kuwatoa hofu ya maisha na usalama wakiwa Nairobi, Kenya. Taifa
Stars ipo Nairobi kwa ajili ya mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya
Harambee Stars ya Kenya utakaofanyoka kesho Jumapili kwenye Uwanja wa
Moi Kasarani.
Kipa
wa timu ya soka ya Tanzania-Taifa Stars, Deogratius Munishi maarufu kwa
jina la Dida, akifanya mazoezi ya kuzuia penalti kwenye Uwanja wa Camp
Toyoyo uliopo Jericho, nje kidogo ya jiji la Nairobi. Taifa Stars ipo
Nairobi kwa ajili ya mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Harambee
Stars ya Kenya utakaofanyoka kesho Jumapili kwenye Uwanja wa Moi
Kasarani.
Kikosi
cha timu ya soka ya Tanzania-Taifa Stars, kikifanya dua kwenye Uwanja
wa Camp Toyoyo uliopo Jericho, nje kidogo ya jiji la Nairobi. Taifa
Stars ipo Nairobi kwa ajili ya mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya
Harambee Stars ya Kenya utakaofanyoka kesho Jumapili kwenye Uwanja wa
Moi Kasarani.
Mshambuliaji Elius Maguri na Kiungo Hassan Kabunda wakipumzika katika mazoezi hayo.
Kikosi
cha timu ya soka ya Tanzania-Taifa Stars, kikikifanya dua kwenye Uwanja
wa Camp Toyoyo uliopo Jericho, nje kidogo ya jiji la Nairobi. Taifa
Stars ipo Nairobi kwa ajili ya mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya
Harambee Stars ya Kenya utakaofanyoka kesho Jumapili kwenye Uwanja wa
Moi Kasarani. (Picha na Alfred Lucas wa TFF).
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269