Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akipiga mpira ikiwa ni ishara ya ufunguzi wa
Mashindano ya Tamasha la Michezo ya Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu
Zanzibar yaliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja jana, Mei 21, 2016.. (Picha
na Ikulu)
Rais akitoa hotuba yake ya ufunguzi huo
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na
Wachezaji wa Timu ya Chuo cha Habari Zanzibar wakati wa ufunguzi wa Mashindano
ya Tamasha la Michezo ya Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar yaliyofanyika
katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja
Wanafunzi
wa Chuo cha Kilimo Kizimbani wakiwa katika maandamano wakati
wa Ufunguzi wa Mashindano ya Tamasha la Michezo ya Vyuo Vikuu na Taasisi
za
Elimu ya Juu Zanzibar yaliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini
Unguja ,ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la
Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed
Shein akiwapungia mkono wanamichezo wa vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya
Juu Zanzibar wakati wa ufunguzi wa Mashindano ya Tamasha la Michezo ya Vyuo
hivyo yaliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja
Baadhi ya Wananchi walioshiriki katika Ufunguzi wa Mashindano ya Tamasha
la Michezo ya Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar yaliyofanyika
katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja ,ambapo mgeni rasmi akiwa Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein
Viongozi mbali mbali walioshiriki katika Ufunguzi wa Mashindano ya
Tamasha la Michezo ya Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar
yaliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja ,ambapo mgeni
rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali
Mohamed Shein
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269