Getrude
Clement (Kushoto) ni Mwanahabari Mtoto kutoka Jijini
Mwanza ambae pia ni mwanamazingira anaewakilisha kundi la Watoto na
Vijana katika Baraza la Mazingira la Umoja wa Mataifa UN kutoka
Tanzania.
Hivi karibuni alihutubia baraza la UN nchini Marekani na
aliporudi bongo hakupata mapokezi makubwa kama tulivyozoea kuona wawakilishi
wengine wakipata mapokezi ya nguvu watokapo nje ya nchi kuliwakilisha Taifa.
Sasa Getrude kafunguka sana kuhusiana na hilo pamoja na
mambo mengine mengi so msikilize wakati akiongea na BMG!
Getrude Clement (Kushoto) akizungumza na GB Pazzo @BMG (Kulia)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269