Waziri Mkuu, Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame kwenye Kituo cha Mikutano cha Mlungushi kilichopo Lusaka Zambia ambako walihudhuria mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika – ADB, Mei 24, 2016, Majaliwa alimwakilisha Rais John Magufuli kwenye mkutano huo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watanzania waishio Zambia kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Lusaka Mei 24, 2016. Majaliwa alikwenda Zambia kumwakilisha Rais John Magufuli kwenye Mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika- ADB uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Mlungushi.
Baadhi ya Watanzania waishio Zambia wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakatia lipozungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Lusaka. Majaliwa alikwenda Zambia kumwakilisha Rais John Magufuli kwenye mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika – ADB, Mei 24, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Your Ad Spot
May 25, 2016
Home
Unlabelled
MAJALIWA AKUTANA NA KAGAME LUSAKA/ MAJALIWA AKUTANA NA WATAZNIA WAISHIO ZAMBIA
MAJALIWA AKUTANA NA KAGAME LUSAKA/ MAJALIWA AKUTANA NA WATAZNIA WAISHIO ZAMBIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269