Breaking News

Your Ad Spot

May 24, 2016

NAPE AFUNGUA MASHINDANO YA KOMBE LA MKUU WA MAJESHI YA ULINZI ( CDF CUP – 2016) JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akihutubia wakati wa kufungua mashindano ya tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF Cup – 2016) kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Mafunzo na Utendaji Kivita Meja Jenerali Issa Nassor akihutubia wanamichezo
wa kijeshi kwenye sherehe za ufunguzi wa  mashindano ya tatu ya kombe la
Mkuu wa Majeshi (CDF Cup – 2016) kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Mwakilishiwa Mnadhimu Mkuu wa Majeshi Meja jenerali Simoni Mumwi akihutubia wakati wa
ufunguzi wa  mashindano ya tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF Cup –
2016) kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiangalia picha yake aliopewa na kikundi cha sanaa  wakati wa kufungua mashindano ya tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF Cup – 2016) kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipiga penati ikiwa ishara ya kufungua mashindano ya tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF Cup – 2016) kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages