Askari akilinusa chupa la plastiki na kugundua ni chupa iliyojaa gongo (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
kibanda kikiteketea kwa moto walipokua wakilala vijana hao wanao jihusi
Askari hao wakati walipo kua katika msako wakimkuta mwanamke amelala na kusimlia kua ametolewa manzese
kisima kilichopo eneo hilo
Kibanda kikiwaka moto walichokua wakilala
Askari
wakishangaa kwa kuona vifuko ya bangi wakati wa msako wa wahalifu
uliofanywa na Askari hao na kujionea vitu vyenye ncha kali, misokoto ya
madawa ya kulevya, machupa ya gongo, mipira ya kiume,
Baada ya moja ya kibanda kuchomwa moto, wanaodaiwa kuwa niwahalifu na wabakaji waliwa wanafanya mipango kujenga tena eneo hilo
Furushi la bangi likionyeshwa na mmoja wa Askari hao kwa mwandishi |
Kete zikionyeshwa na mmoja wa Askari hao kwa mwandishi
Baadhi ya wananchi wakiangalia wakati Askari wakiwadhibiti wahalifu hao
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269