Mgeni
rasmi katika Uzinduzi wa Kariakoo family Development Foundation
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi polisi mstaafu Jamal Rwambow
akiogea machache na amekitaka chama hicho kujali maendeleo ya jamii ya
cha hicho kinachowajumuisha wzawa na waliowahi kuishi na wanaoishi eneo
lote la Kariakoo jijini Dar es salaam kwa lengo la kushirikiana mambo
mbalimbali ya limaendeleo na kijamii.
Mwenyekiti
wa kariakoo family development fund mh.mohamed bhinda akizungumza
katika uzinduzi huo uliofanyika hivi karibuni katika Ukumbi wa City
Lounge jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa Kariakoo Family Development Foundation, Mohamed Bhinda akiwa na
Jamal Rwambow (mwenye suti nyeusi) wakikata keki mara baada ya kuzindua
umoja huo.
Wakongwe
wa Kariakoo Senpai Yusuf Kivuli (kushoto) na Senpai Waheed wakiwa
katika shoo ya Goju Ryu Karate katika uzinduzi wa Kariakoo Family
Development Foundation.
Mkurugenzi wa MMG, Ankal Muhidin Issa Michuzi akilishwa keki katika uzinduzi wa Kariakoo Family Development Foundation
Picha ya Pamoja ya Wanakariakoo na Mgeni Rasmi.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269