Na Mwandishi Wetu
MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) umesogeza mbele kwa siku moja sherehe za kumkabidhi eneo mchezaji bora wa Afrika, Mbwana Samatta hadi Juni 5, 2016 ili kupisha pambano kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) na timu ya Taifa ya Misri.
Mwenyekiti wa SHIWATA, Cassima Taalib alisema jana Dar es Salaam kuwa maandalizi ya sherehe hizo ambazo awali zilipangwa kufanyika Juni 4, 2016 yamekamilika na Mbwana atakabidhiwa hekari tano za eneo ambazo atalitumia kujenga Kituo cha wanamichezo >>INAENDELEA>BOFYA
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269