Mkurugenzi wa kampuni ya Global
Publisher, wachapishaji wa magazeti pendwa ya udaku, likiemo gazeti la
Ijumaa, Bw. Eric Shigongo, (kushoto0, akiteta jambo na Mhariri
mwandamizi wa kampuni hiyo, Bw. Elvan Stambuli, wakati Shigongo
alipofika nyumbani kwa marehemu, Makongoro Oging' huko Tabata Magengeni
jijini Dar es Salaam, Jumatatu Mei 23, 2016. Marehemu Makongorio alikuwa
mwandishi mwandamizi wa habari za uchunguzi wa kampuni hiyo, ambapo
kupitia "kalamu" yake ameweza kusaidia jamii iliyodhulumiwa haki zake,
kufichua uovu ndani ya jamii, alifariki kutokana na maradhi mwishoni mwa
wiki iliyopita.
Waombolezaji wakiwa msibani
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269