Mwenyekiti
wa Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Mary Nagu
(Kulia) akifungua Semina ya Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Kuhusu Kuanzishwa kwa TADB na Utekelezaji wa
Majukumu yake. Kushoto ni Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi,
Mwigulu Nchemba.
Waziri
wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba (Aliyesimama)
akizungumza wakati wa Semina ya Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Kuhusu Kuanzishwa kwa TADB na Utekelezaji wa
Majukumu yake. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo
na Uvuvi, Dkt. Mary Nagu.
Mkurugenzi
Mwendeshaji wa TADB, Bw. Thomas Samkyi akiwasilisha Mada kuhusu Kuhusu
Kuanzishwa kwa TADB na Utekelezaji wa Majukumu yake mbele ya Waheshimiwa
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mkurugenzi
wa Mipango, Utafiti na Sera wa TADB, Francis Assenga akiwasilisha
Mada ya Mpango Mkakati wa TADB na Utekelezaji wake kwa Waheshimiwa
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Viongozi
waandamizi wa TADB wakiandika hoja mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa
na Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
wakati wa Semina Kuhusu Kuanzishwa kwa TADB na Utekelezaji wa Majukumu
yake.
Mkurugenzi
wa Mikopo na Biashara wa TADB, Robert Pascal akiwasilisha Mada
kuhusu Utoaji wa Huduma za Mikopo na Matokeo Tarajiwa kwa Waheshimiwa
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Baadhi
ya Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa Semina Kuhusu Kuanzishwa kwa TADB
na Utekelezaji wa Majukumu yake.
Baadhi
ya Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
wakichangia mada mbalimbali wakati wa Semina Kuhusu Kuanzishwa kwa TADB
na Utekelezaji wa Majukumu yake.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Florens Turuka (Kulia)
akifuatilia kwa makini mada mbalimbali wakati wa Semina Kuhusu
Kuanzishwa kwa TADB na Utekelezaji wa Majukumu yake.
Mbunge
wa Babati Vijijini, Jitu Soni (Katikati) akizungumza na viongozi
waandamizi wa TADB, Mkurugenzi Mwendeshaji wa TADB, Thomas Samkyi
(Kushoto) na Mkurugenzi wa Biashara na Mikopo, Robert Pascal (Kulia)
wakati wa Semina Kuhusu Kuanzishwa kwa TADB na Utekelezaji wa Majukumu
yake.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Florens Turuka
(Kushoto) akiagana na Mkurugenzi Mwendeshaji wa TADB, Thomas Samkyi
(Kulia) mara baada ya Semina ya Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Kuhusu Kuanzishwa kwa TADB na Utekelezaji wa
Majukumu yake.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269