Bi
harusi Mtarajiwa, Jestina Julius akiwa katika pozi kabla ya kuanza
kupambwa, ambapo anatarajiwa kuagwa katika ukumbi wa Unenamwa uliopo
Kimara Jijini Dar es Salaam hivi punde na kufatiwa na Hafla ya Sherehe
ya Harusi inayotarajiwa kufungwa Agosti 21, 2016. katika kanisa la
Waebrania (E.A.G.T) lililopo kimara Dar es Salaam. (PICHA NA KHAMISI
MUSSA)
Biharusi katika muonekano wake
Bi harusi Mtarajiwa, Jestina Julius akiwa atika tabasam
Bi
harusi Mtarajiwa, Jestina Julius akipambwa na Domitila Mbawala ambaye
ni Mmiliki wa Clara Beauty Salooni liyopo Kimara Suka Dar es Salaam
,ambapo Sherehe ya hafla hiyo itafanyika katika Ukumbi wa Unenamwa na
kufatiwa na Ndoa inayo tarajiwa kufungwa Agosti 21, 2016 Dar es Salaam katika kanisa la Waebrania (E.A.G.T) lililopo kimara . (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Mpambe wa bi harusi mtarajiwa Mrs Shija, Upendo Shija akipambwa na Domitila Mbawala ambaye ni Mmiliki wa Clara Beauty Salooni liyopo Kimara Suka Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269