Breaking News

Your Ad Spot

Aug 20, 2016

UZINDUZI WA MSIMU WA TIGO FIESTA 2016 JIJINI MWANZA

Waziri wa habari, utamaduni na michezo, Mhe. Nape Mnauye akiongea na wakazi wa mkoa wa Mwanza wakati wa uzinduzi wa msimu wa Tigo Fiesta 2016 kwenye viwanja vya Furahisha . 
 Waziri wa habari, utamaduni na michezo,  Mhe. Nape Mnauye akizindua rasmi msimu mpya wa Tigo Fiesta 2016 kwa kunyanyua juu bendera maalum kwa kushirikiana na wafanyakazi wa kampuni ya Tigo na viongozi mbalimbali kwenye viwanja vya furahisha jijini Mwanza . 

IMOOOOO!

Wanakikundi wa chuo cha kilimahewa wakitumbuiza mara baada ya uzinduizi rasmi wa Fiesta Jijini Mwanza.

Wanakikundi wa utamaduni vijana wakitumbuiza mara baada ya uzinduizi rasmi wa Tigo  Fiesta 2016 Jijini Mwanza.

Wanakikundi wa utandawazi kutoka ukeerewe wakitumbuiza mara baada ya uzinduizi rasmi wa  Tigo Fiesta 2016 Jijini Mwanza jana.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages