Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu
(katikati), akizungumza na wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili (MNH), wakati akizindua bodi mpya ya udhamini wa hospitali
hiyo Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mwenyekiti mpya wa bodi hiyo,
Dk.Charles Majinge na Kulia ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya,
Michael John.
Mwenyekiti mpya wa bodi hiyo, Dk.Charles Majinge (kushoto), akizungumza katika uzinduzi wa bodi atakayoiongoza.
Wafanyakazi wa Hospitali hiyo wakiwa kwenye uzinduzi huo.
Usikivu wakati waziri akizungumza nao.
Maofisa uuguzi wakiwa kwenye uzinduzi huo.
Kaimu
Mkurugenzi wa MNH, Profesa Lawrence Museru (kushoto), akiwa kwenye
uzinduzi huo. Kulia ni Mjumbe wa bodi hiyo, Esther Manyesha na Dk. Ellen
Mkondya Senkoro.
Uzinduzi ukiendelea.
Wadau wa sekta ya afya wakifuatilia uzinduzi huo.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269