Said Mrisho akishukuru kwa wote wanao
jitokeza kumpigania kwa hali na mali, hasa akianza na kumshukuru Rais wa
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli kwa kuwa na maono ya kumchaguwa Paul
Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambae anauchungu wa wananchi
wake na pia namshukuru Kiongozi wa Mabohora kumsaidia Bajaji 2, sina cha
kuwalipa ila Mungu atawalipa, hayo yalisemwa na Mrisho wakati wa hafla
ya kukabidhiwa bajaji 2 na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,
msaada uliotolewa na Kiongozi wa Mabohora maeneo ya Upanga, Dar es
Salaam
Mkuu wa Mkoa Paul Pakonda (wa kwanza kushoto) akisalimiana na Kiongozi wa Mabohora,
Syedna Dk. Mufaddal Saifuddin (wa tatu kushoto)
wakati wa hafla ya kumkabidhi Bajaj 2, Said Mrisho amae alietobolewa macho na Mtuhumiwa Salum Njewele (Scopion)
wakati wa hafla ya kumkabidhi Bajaj 2, Said Mrisho amae alietobolewa macho na Mtuhumiwa Salum Njewele (Scopion)
Kiongozi wa Mabohora,
Syedna Dk Mufaddal Saifuddin (wa pili kulia) akipeana mikono na Said Mrisho
ambaye alipata upofu wa Macho na Mtuhumiwa Salum Njewele (Scopion) wakati wa
hafla ya kumkabidhi Bajaj mbili jijini Da es Salaam. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
Said Mrisho,(kushoto) akikabidhiwa kadi za Bajaj na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda
Waandishi wa habari
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269