Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na wakuu wa vyombo vya ulinzi
nausalama Kisiwani Pemba, mara tu baada ya kuteremka kwenye ndege
ksiwani humo Novemba 5, 2016 tayari kuanza ziara ya kikazi ya siku tano kukagua
na kuzindua miradi ya maendeleo. (PICHA NA IKULU ZANZIBAR)
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiteremka katika Ndege ya Shirika la
Ndege
la AIR Tanzania mada baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Karume
Pemba , Rais akiwa kisiwani humo atafungua miradi mbali mbali ya
Maendeleo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein alipokuwa
akitoa hutuba yake katika sherehe ya Ufunguzi wa Jengo la Mahakama kuu ya Chake
chake zilizofanyika Viwanja vya Mchezo wa Tenis Chakechake Pemba
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiwa na
Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe, Omar Othman Makungu, (kushoto) wakiwa katika
sherehe ya Ufunguzi wa Jengo la Mahakama kuu ya Chake chake zilizofanyika Viwanja vya Mchezo wa Tenis Chakechake Pemba
Jaji Mkuu wa Zanzibar akitoa hotuba yake Mhe, Omar Othman Makungu
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
(katikati) akifuatana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe, Omar Othman Makungu, (wa pili
kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe, Issa Haji Ussi (wa pili kulia) na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais, Katiba,Utumishi wa Umma na Utawala Bora mara baada ya kulifungua
jengo la Mahakama kuu ya Chake chake Pemba akiwa katika ziara ya siku tano
kisiwani humo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akipata
maelezo wakati alipotembelea sehemu mbali mbali baada ya kulifungua
jengo la Mahakama kuu ya Chake chake Pemba akiwa katika ziara ya siku tano
kisiwani humo, (kushoto) Jaji Mkuu wa Zanzibar
Mhe, Omar
Othman Makungu
Baadhi
ya wananchi kutoka shehia mbali mbali katika Wilaya ya Chake chake Pemba wakiwa
katika sherehe za Ufunguzi wa Jengo la Mahakama kuu ya Chake chake
lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika ziara ya siku tano kisiwani humo
Majaji
wa Mahakama Kuu na Wananchi pamoja na Wafanyakazi wa Idara hiyo wakiwa katika
sherehe ya Ufunguzi wa Jengo la Mahakama kuu ya Chake chake lililofunguliwa
Chakechake Pemba na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika ziara ya siku tano kisiwani humo
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269