Rais wa
Tanzania Dk. John Magufuli akiwa na viongozi wa Nchi mabalimbali katika picha ya pamoja mbele ya jengo
jipya la Kituo cha Amani na Usalama la Julius Nyerere lililopo Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa, Ethiopia.
Rais Dk. John Magufuli akihutubia
Viongozi Wakuu wa Nchi mbalimbali kuzindua Jengo jipya la
Kituo cha Amani na Usalama kilichopewa jina Rasmi la Mwalimu Julius Nyerere,
Addis Ababa, Ethiopia, leo Januari 29, 2017.
Rais Dk. John Magufuli akijadiliana jambo na Rais wa Kenya Uhuru
Kenyatta baada ya kutangazwa rasmi kwa Jina la Mwalimu Julius Nyerere
katika kituo hicho cha Amani na Usalama.
Rais Dk. John Magufuli akijadiliana jambo na Rais wa Rwanda Paul
Kagame wakati wakielekea katika Kituo cha Amani na Usalama cha Makao Makuu ya
Umoja wa Afrika kilichopewa jina la Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius
Nyerere, Addis Abba nchini Ethiopia, leo.
Rais Dk. John Magufuli akijadiliana jambo na Rais wa Rwanda Paul Kagame wakati wakielekea katika Kituo cha Amani na Usalama cha Makao Makuu ya Umoja wa Afrika kilichopewa jina la Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Nyerere, Addis Abba nchini Ethiopia, leo. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269