Treni
ya abiria ya Shirika la Reli (TRL) inayofanya safari zake kutoka
Dar-Mwanza na Kigoma almaarufu Delux imepata ajali jioni hii ikielekea
Dar es Salaam, ajali hiyo imetokea katika mkoa wa Pwani bado
haijajulikana ni kitu gani kimesababisha ajali hiyo tunaendelea
kufuatilia ili kujua chanzo cha ajali.
Your Ad Spot
Jan 29, 2017
Home
Unlabelled
TRENI YA RELI YA KATI MAARUFU DELUX YAPATA AJALI MKOANI PWANI IKITOKEA KANDA YA ZIWA
TRENI YA RELI YA KATI MAARUFU DELUX YAPATA AJALI MKOANI PWANI IKITOKEA KANDA YA ZIWA
Share This
About khamisimussa77@gmail.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269