Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Group Bw.Said
Salim Bakhresa mara alipowasili katika Viwanja vya Kiwanda cha Maziwa
cha (Azam Dairy Products Ltd.) huko Fumba Kororo Wilaya ya Magharibi “A”
Unguja leo kukizindua rasmi, ikiwa ni katika shamra shamra za
maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia) Mkuu
wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe, Ayoub Mohamed Mahmoud.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) na Meneja Uzalishaji
AZAM DAIRY PRODUCTS LTD ADILSON FAGUNDES
wakifuatana wakati alipotembelea sehemu za uzalishaji wa maziwa katika Kiwanda cha Maziwa cha (Azam Dairy Products Ltd.) huko Fumba Kororo Wilaya ya Magharibi “A” Unguja jana baada ya kukizindua rasmi,ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia) Waziri wa Fedha na Mipango Dkt.Khalid Salum Mohamed na (kulia) ni Afisa kiwandani hapo.
Wafanyakazi
wa Kiwanda cha Maziwa cha (Azam Dairy Products Ltd.) wakiendelea na
shuhuli zao za kuhakikisha maziwa yanapangwa vizuri katika sehemu
zinazohusika wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipotembelea baada ya kukizindua kiwanda
hicho jana huko Fumba Kororo Wilaya ya Magharibi “A” Unguja,ikiwa ni
katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akipata maelezo kutoka kwa Meneja Uzalishaji katika Kiwanda
cha Maziwa cha AZAM DAIRY PRODUCTS LTD ADILSON FAGUNDES (kushoto)
wakati alipotembelea Kiwanda hicho huko Fumba Kororo Wilaya ya Magharibi
“A” Unguja kuona harakati za uzalishaji baada ya kukizindua jana ikiwa
ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu
ya Zanzibar.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akipata maelezo kutoka kwa Meneja Uzalishaji katika Kiwanda
cha Maziwa cha AZAM DAIRY PRODUCTS LTD ADILSON FAGUNDES (kushoto)
wakati alipotembelea Kiwanda hicho huko Fumba Kororo Wilaya ya Magharibi
“A” Unguja kuona harakati za uzalishaji baada ya kukizindua leo,ikiwa
ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu
ya Zanzibar.
Baadhi ya
wafanyakazi wa Kiwanda cha Maziwa cha (Azam Dairy Products Ltd.)
wakiendelea na shuhuli zao za kuhakikisha maziwa yanapangwa vizuri
katika maboksi katika hatua za mwisho kuelekea sokoni,wakati Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipotembelea baada ya kukizindua kiwanda hicho jana huko Fumba Kororo
Wilaya ya Magharibi “A” Unguja,ikiwa ni katika shamra shamra za
maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kushoto) .
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) na Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Group Bw.Said Salim Bakhresa
wakikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Mradi wa kiwanda cha uzalishaji wa
Maziwa (Azam Dairy Products Ltd.) huko Fumba wilaya ya Magharibi “A”
Unguja, ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kushoto) .
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akifungua pazia kuashiria Uzinduzi wa Mradi wa kiwanda cha
uzalishaji wa Maziwa (Azam Dairy Products Ltd.) huko Fumba wilaya ya
Magharibi “A” Unguja, ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya
miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kushoto) Mwenyekiti wa
Kampuni ya Azam Group Bw.Said Salim Bakhresa.
Baadhi
ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi na Viongozi wengine waliohudhuria
katika hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa kiwanda cha uzalishaji wa Maziwa
(Azam DairyProducts Ltd.) huko Fumba wilaya ya Magharibi “A”
Unguja,wakishuhudia na kusikiliza maelezo yaliyotolewa kuhusu Kiwanda
hicho,ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Baadhi ya
Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa
kiwanda cha uzalishaji wa Maziwa (Azam Dairy Products Ltd.) huko Fumba
wilaya ya Magharibi “A” Unguja,wakishuhudia na kusikiliza maelezo
yaliyotolewa kuhusu Kiwanda hicho,ikiwa ni katika shamra shamra za
maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Baadhi ya
wananchi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa
kiwanda cha uzalishaji wa Maziwa (Azam Dairy Products Ltd.) huko Fumba
wilaya ya Magharibi “A” Unguja,wakishuhudia na kusikiliza maelezo
yaliyotolewa kuhusu Kiwanda hicho,ikiwa ni katika shamra shamra za
maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Mwakilishi wa Kampuni ya Azam Diary
Bw.Salim Aziz akitoa maelezo kuhusu mradi wa uzalishaji wa maziwa katika
uzinduzi wa Kiwanda cha Maziwa cha (Azam Dairy Products Ltd) jana huko
Fumba Kororo wilaya ya Magharibi A” Unguja,katika shamra shamra za
maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, (PICHA NA IKULU).
|
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269