Rais
Mstaafu Alhaj Ally Hassan Mwinyi (wa pili kushoto) akipokea zawadi ya mchoro toka kwa
Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem al Najem katika hafla ya kusherehekea
Miaka 54 ya Uhuru wa nchi ya Kuwait na miaka 26 ya mapambano ya
ukombozi katika ubalozi wa nchi hiyo Oysterbay jijini Dar es salaam
usiku huu. Kushoto ni waziri wa mambo ya nchi za nje Balozi Dkt. Augustine Mahiga
Rais
Mstaafu Alhaj Ally Hassan Mwinyi (wapili kulia) akikata keki na Balozi wa Kuwait
nchini Mhe. Jasem al Najem (wakwanza kulia) katika hafla ya kusherehekea Miaka 54 ya
Uhuru wa nchi ya Kuwait na miaka 26 ya mapambano ya ukombozi katika
ubalozi wa nchi hiyo Oysterbay jijini Dar es salaam usiku huu. wapili Kushoto
ni waziri wa mambo ya nchi za nje, Balozi Dkt. Augustine Mahiga
Rais
Mstaafu Alhaj Ally Hassan Mwinyi akikata keki na Balozi wa Kuwait
nchini Mhe. Jasem al Najem katika hafla ya kusherehekea Miaka 54 ya
Uhuru wa nchi ya Kuwait na miaka 26 ya mapambano ya ukombozi katika
ubalozi wa nchi hiyo Oysterbay jijini Dar es salaam usiku huu. Kushoto
ni waziri wa mambo ya nchi za nje Dkt. Augustine Mahiga
Keki ya
hafla hiyo ya kusherehekea Miaka 54 ya Uhuru wa nchi ya Kuwait na miaka
26 ya mapambano ya ukombozi katika ubalozi wa nchi hiyo Oysterbay
jijini Dar es salaam usiku huu.
Rais
Mstaafu Alhaj Ally Hassan Mwinyi akiwa katika hafla ya kusherehekea
Miaka 54 ya Uhuru wa nchi ya Kuwait na miaka 26 ya mapambano ya ukombozi
katika ubalozi wa nchi hiyo Oysterbay jijini Dar es salaam usiku huu.
Kulia kwake ni waziri wa mambo ya nchi za nje Dkt. Augustine Mahiga
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269