Breaking News

Your Ad Spot

Feb 23, 2017

USHIRIKIANO UDUMISHWE KATIKA MATUMIZI YA MAJI YA BONDE LA MTO NILE - MAKAMU WA RAIS

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja n meza kuu wakiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya msingi Mlimani wakati wa maadhimisho ya 11 ya Siku ya Nile (Nile day) , Maadhimisho hayo yamehudhuriwa na nchi 10 zinazozunguka bonde la mto Nile na kubeba kauli mbiu inayosema “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo cha Nishati, Chakula na Maji kwa Wote”.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wanafunzi wa shule ya msingi Mlimani ya jijini Dar es salaam walioshiriki matembezi na kuimba nyimbo maalum wakati wa maadhimisho ya 11 ya Siku ya Nile (Nile day) , Maadhimisho hayo yamehudhuliwa na nchi 10 zinazozunguka bonde la mto Nile na kubeba kauli mbiu inayosema “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo cha Nishati, Chakula na Maji kwa Wote”

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea taarifa ya upatikanaji wa maji jijini Dar es Salaam alipotembelea banda la DAWASCO na kupewa maelezo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Dawasco Cyprian Luhemeja wakati wa maadhimisho ya 11 ya Siku ya Nile (Nile day) , Maadhimisho hayo yamehudhuriwa na nchi 10 zinazozunguka bonde la mto Nile na kubeba kauli mbiu inayosema “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo cha Nishati, Chakula na Maji kwa Wote”


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa maadhimisho ya 11 ya Siku ya Nile (Nile day) , Maadhimisho hayo yamehudhuliwa na nchi 10 zinazozunguka bonde la mto Nile na kubeba kauli mbiu inayosema “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo cha Nishati, Chakula na Maji kwa Wote” 

Wajumbe na wageni waalikwa wakimsikiliza kwa makini Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akihutubia kwenye maadhimisho ya 11 ya Siku ya Nile (Nile day) , Maadhimisho hayo yamehudhuriwa na nchi 10 zinazozunguka bonde la mto Nile na kubeba kauli mbiu inayosema “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo cha Nishati, Chakula na Maji kwa Wote”

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages