Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa Mkemia Mkuu wa Serikali,
Profesa Samwel Manyele taarifa ya Tume aliyoiunda ya kuchunguza suala la
Faru John, ofisini kwake jijjini Dar es salaam leo Machi 27, 2017. (PICHA NA OFISI YA `WAZIRI MKUU)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mkemia Mkuu wa Serikali , Profesa Samwel
Manyele wakati alipowasilisha taarifa ya tume ya uchunguzi wa suala Faru
John baada ya kukabidhi taarifa hiyo , Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es
salaam
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kukabidhiwa
taarifa ya tume ya kuchunguza suala la Faru John na Mkemia Mkuu wa Serikali,
Profesa Samwel Manyele, Ofisini kwake jijini Dar es salam.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269