Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimlaki balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Mhe. Roeland Van de Geer
alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo April 6, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Mhe. Roeland Van de Geer
alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo April 6, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na
balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Mhe. Roeland Van de Geer baada ya
kukutana naye kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo April 6,
2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata
picha ya kumbukumbu na balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Mhe. Roeland Van
de Geer alipokutana naye kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo
April 6, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na
balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Mhe. Roeland Van de Geer baada ya
kukutana naye kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo April 6,
2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifanya
mazungumzo na Balozi wa Israel hapa nchini Mhe. Yahel Vilan alipokutana
naye Ikulu jijini Dar es salaam leo April 6, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea
ujumbe maalumu toka kwa Waziri Mkuu wa Israel Mhe. Benjamin Netanyahu
uliowasilishwa kwake na Balozi wa Israel hapa nchini Mhe. Yahel Vilan
alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo April 6, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimsindikiza baada ya mazungumzo na Balozi wa Israel hapa nchini Mhe.
Yahel Vilan alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo April 6,
2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na
Balozi wa Israel hapa nchini Mhe. Yahel Vilan baada ya kutana naye kwa
mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo April 6, 2017.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269