Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Makalla
baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songwe kuanza ziara ya mkoa
wa Mbeya Julai 28, 2017
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mbeya Mjini,
Joseph Mbilinyi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songwe
kuanza ziara ya mkoa wa Mbeya julai 28, 2017
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa mkoa wa Mbeya
baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songwe kuanza ziara ya mkoa
wa Mbeya Julai 28, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akivalishwa skafu na vija wa CCM, Green
Guard bade ya kuwasili kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela
kuanza ziara wilayani humo Julai 29, 2017. Kushoto kwake ni Naibu Spika
wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu na kulia ni Mkuu wa mkoa wa Mbeya,
Amos Makalla
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa umma wa wilaya
ya Kyela baada ya kupokea taarifa ya mkoa huo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa
wa Mbeya Amos Makalla (kushoto) kwenye ukumbi wa Halmashuri ya Wilaya ya
Kyela Julai 29, 2017. Kulia ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson
Mwansasu.
Baadhi ya watumishi wa umma wa wilaya ya Kyela wakimsikiliza Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza naokwenye ukumbi wa
Halmahauri ya wilaya ya Kyela akiwa ktik ziara ya mkoa wa Mbeya julai
29, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Your Ad Spot
Jul 28, 2017
Home
Unlabelled
WAZIRI MKUU AANZA ZIARA MKOA WAA MBEYA
WAZIRI MKUU AANZA ZIARA MKOA WAA MBEYA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269