Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkaribisha kwa ajili ya mazungumzo Mkuu wa Majeshi wa India, Admiral Sunil Lanba Ofisini kwake jijini Dar es Salaam, leo Julai 28, 2017. Kulia ni Mkuu wa Majeshi, Jeneral Venance Mabeyo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Majeshi wa India, Admiral Sunil Lanba Ofisini kwake jijini Dar es Salaam, leo Julai 28, 2017. Kulia ni Mkuu wa Majeshi, Jeneral Venance Mabeyo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Majeshi wa India , Admiral Sunil Lanba (kulia kwake) pamoja na ujumbe wake, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Julai 28, 2017. Kushoto kwake ni Mkuu wa Majeshi, Jeneral Venace Mabeyo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Majeshi wa India Admiral Sunil Lanba (wapili Kushoto) na Mkuu wa Majeshi nchini, Jeneral Venance Mabeyo (kushoto) baada ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Julai 28, 2017. Kushoto ni Balozi wa India Nchini, Sandeep Arya
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Majeshi wa India Admiral Sunil Lanba (wapili Kushoto) na Mkuu wa Majeshi nchini, Jeneral Venance Mabeyo (kushoto) baada ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es Salaam, leo Julai 28, 2017. Wapili kushoto ni Balozi wa India Nchini, Sandeep Arya
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijadili jambo na Mkuu wa Majeshi wa India, Admiral Sunil Lanba (kulia) baada ya mazungumzo yao Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam, leo, Julai 28, 2017 . Wapili kulia ni Mkuu wa Majeshi Nchini, Jeneral Venance Mabeyo na kushoto ni Balozi wa India Nchini, Sandeep Arya.
Your Ad Spot
Jul 28, 2017
Home
Unlabelled
WAZIRI MKUU MAJALIWA AFANYA MAZUNGUMZO NA MKUU WA MAJESHI WA INDIA, LEO
WAZIRI MKUU MAJALIWA AFANYA MAZUNGUMZO NA MKUU WA MAJESHI WA INDIA, LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269