Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akitazama chai iliyosindikwa na kufungashwa
tayari kwa kuuzwa wakati alipotembelea kwianda cha chai cha Katumba
wilayani Rungwe Julai 30, 2017
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea kiwanda cha chai cha Katumba
wilayani Rungwe Julai 30, 2017. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos
Makalla na kushoto ni Meneja Uzalishaji wa kiwanda hicho, Ramadhani
Kampasili.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana viongozi wa kiwanda cha chai
cha Katumba wilayani Rung wakati alipowasili kiwandani hapo kukagua
shuguli za kiwanda hicho Julai 30, 2017
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana viongozi wa kiwanda cha chai
cha Katumba wilayani Rung wakati alipowasili kiwandani hapo kukagua
shuguli za kiwanda hicho Julai 30, 2017
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezokutoka kwa Mkutugenzi wa
Ufundi, Bw. McJohn Mbiri (kulia Kwake) kuhusu mitambo ya kuzaisha gesi
ya hewa ya ukaa wakati alipotembelea kiwanda cha TOL Limited kilichopo
katika kijiji cha Ikama wilayani Rungwe Julai 30, 2017. Kushoto kwake
ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wazee wa Busokelo baada ya
kuwasili kwenye uwanja wa michezo wa Kandete katika jimbo la Busokelo
kuhutubia mkutano wa hadhara Julai 30, 2017
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifuhia ngoma ya asili baada ya kuwasili
kwenye uwanja wa michezo wa Kandete katika jimbo la Busokelo mkoani
Mbeya kuhutubia mkutano wa hadhara Julai 30, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Rungwe baada ya
kutembelea kiwanda cha Chai cha Katumba Julai 30, 2017. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Your Ad Spot
Jul 30, 2017
Home
Unlabelled
ZIARA YA WAZIRI MKUU WILAYANI RUNGWE MKOANI MBEYA, LEO
ZIARA YA WAZIRI MKUU WILAYANI RUNGWE MKOANI MBEYA, LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269