Breaking News

Your Ad Spot

Aug 1, 2017

MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI DUNIANI YAZINDULIWA LEO DAR

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, leo amefungua  Maadhimisho ya Wiki ya Unyonyeshaji Duniani na pia kuzindua Programu ya  m-Nutrition, katika hafla iliyofanyika katika ukumb i wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam.
 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, akikagua maonyesho ya vipeperushi vya uhamasishaji lishe, alipowasili kufungua Maadhimisho ya Wiki ya Unyonyeshaji Duniani na pia kuzindua Programu ya  m-Nutrition, katika hafla iliyofanyika katika ukumb i wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam, leo.
  Baadhi ya awaalikwa wakiwa kweenye ufunguzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Unyonyeshaji Duniani na pia uzinduzi wa Programu ya  m-Nutrition, katika ukumb i wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam, leo.
  Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, akizungumza wakati akifungua Maadhimisho ya Wiki ya Unyonyeshaji Duniani na pia kuzindua Programu ya  m-Nutrition, katika ukumb i wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam, leo.
 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, akizindua Programu ya  m-Nutrition, katika ukumb i wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam, leo.PICHA ZAIDI/> BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages