Breaking News

Your Ad Spot

Sep 25, 2017

MKUTANO MKUU MAALUM WA JUMUIA YA WAZAZI WILAYA YA ILALA WAFANA

Naibu Katibu Mkuu wa Jumuia ya Wazazi Bara, Burhan Ruta, akifungua Mkutano Mkuu wa Jumuia ya Wazazi Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, uliofanyika jana, Segerea. Mkutano huo ulikuwa mjaalum kwa ajili ya Uchaguzi wapya wa Jumuia hiyo katika Wilaya ya Ilala. Kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Dar es SalaamLugano Mwafongo.
Naibu Katibu Mkuu wa Jumuia ya Wazazi Bara, Burhan Ruta, akisisitiza jambo wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Jumuia ya Wazazi Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, uliofanyika jana, Segerea. Mkutano huo ulikuwa mjaalum kwa ajili ya Uchaguzi wapya wa Jumuia hiyo katika Wilaya ya Ilala
Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Lugano Mwaafongo akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Jumuia ya Wazazi Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, uliofanyika jana, Segerea. Mkutano huo ulikuwa mjaalum kwa ajili ya Uchaguzi wapya wa Jumuia hiyo katika Wilaya ya Ilala..Zifuatazo ni picha mbalimbali za mkutano huo

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages