Breaking News

Your Ad Spot

Nov 9, 2017

WAZIRI DK. TZEBA AMTUMBUA MKURUGENZI MKUU BODI YA SUKARI

DODOMA
Waziri wa Kilimo Dk. Charles Tizeba, amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Mhandisi Methew Mtigumwe  kumsimamisha kazi mara moja Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Sukari Tanzania Henry Semwanza (Pichani) kuanzia leo Novemba 9, 2017.

Simwanza ambaye amehudumu katika nafasi hiyo ya Mkurugenzi wa Sukari tangu mwaka 2011, anasimamishwa kazi kutokana na mwenendo wake wa utendaji akiwa Msimamizi Mkuu wa Bodi ya Sukari kutoridhisha.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages