Breaking News

Your Ad Spot

Dec 11, 2017

RC MNDEME AAGIZA MAKANDARASI WABOVU WATIMULIWE SONGEA

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christine Mndeme amemwagiza Mkurugenzi wa Malmaka ya Maji mjini Songea (SOWASA) kuhakikisha Mamlaka hiyo inatoa huduma bora kwa wananchi huku akionya kuwa wakandarasi watakao kiuka mikataba kwa kushindwa kutimiza majukumu yao basi waondolewe mara moja habari kamili hii hapa video yake .......

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages