Mbunge wa Mtama ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ardhi,
Maliasili na Utalii, Nape Nnauye akiwa kwenye
‘’canopy walkawaya’ ambayo aina mpya ya shughuli ya utalii ya kutembea juu miti kwa kutumia kamba wakati
kamati hiyo ilipotembelea jana katika
Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara
Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii, Maj. Gen. Gaudence
Milanzi (kulia) akiwa pamoja na Meneja
wa Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za
Taifa, Paschal Shelutete wakipatiwa maelezo kutoka kwa Simon Mushi kuhusiana na ‘’canopy
walkaway’’ ambayo aina mpya ya utalii
ya kutembea juu miti kwa kutumia kamba
wakati Wajumbe Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ardhi,
Maliasili na Utalii walipofanya ziara
ya kutembelea jana Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara kwa ajili ya kujionea
shughuli mbalimbali zilizotekelezwa katika hifadhi hiyo
Naibu Waziri wa Maliasili na
Utalii, Japhet Hasunga akizungumza na
vyombo vya habari akiwa katika daraja lililojengwa ndani ya ziwa manyara ambalo
ni kivutio cha kipekee kwa watalii ambacho
hutumiwa na watalii kujionea maji asili ya moto (majimoto) katika eneo
hilo wakati Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii
ilipotembelea jana katika Hifadhi ya
Taifa ya Ziwa Manyara
Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa Tanzania (TANAPA)
Allan Kijazi akizungumza na wajumbe wa Kamati
ya Bunge ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii ilipotembelea jana katika Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara kw ajili ya
kuijonea shughuli mbalimbali zilizotekelezwa na Hifadhi hiyo
Mbunge wa Busokelo ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ardhi,
Maliasili na Utalii Atupele Mwakibete
akipongeza namna Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara ilivyofanikiwa katika kushirikisha
sekta binafsi katika kuboresha vivutio vya utalii katika hifadhi hiyo mara
baada ya Kamati hiyo kukamalisha ziara
ya kutembea ndani ya hifadhi hiyo jana kwa ajili ya kujionea shughuli
mbalimbali zilizotekelezwa katika
Mkurugenzi wa Mipango na Sera, Dkt. Idd Mfunda
akiwa kwenye ‘’canopy walkawaya’ ambayo aina mpya ya
shughuli ya utalii ya kutembea juu miti
kwa kutumia kamba katika Hifadhi ya
Taifa ya Ziwa Manyara
Mtaalamu wa Canopy walkaway , Samson Shoo akiwa
ameongozana na wajumbe wa Kamati ya
Bunge ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii
kwa ajili ya kwenda kwenye
‘’canopy walkawaya’ ambayo aina mpya ya utalii ya kutembea juu miti kwa kutumia kamba wakati
Kamati hiyo ’ ilipotembelea jana katika
Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara
Your Ad Spot
Jan 26, 2018
Home
Unlabelled
KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII YALIDHISHWA NA AINA MPYA ZA UTALII ZILIZOANZISHWA KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA ZIWA MANYARA
KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII YALIDHISHWA NA AINA MPYA ZA UTALII ZILIZOANZISHWA KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA ZIWA MANYARA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269