Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mfereji wa maji wakati alipozindua
chama cha ushirika cha Igembe Sabo kinachojishughulisha na kilimo cha
mpunga wilayani Bunda Januari 19, 2018. (PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akimkabidhi cheti cha shukurani, Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya
Serengti, Bw. William Mwakileme kutokana na mchango mkubwa wa hifadhi
hiyo katika ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Robada wilayani Serengeti.
Mheshimiwa Majaliwa alikuwa katika ziara ya mkoa wa Mara Januari 19,
2017. Katikati ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mara, Samweli Kiboyi.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa kijiji cha Hunyari
baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa wodi ya wazazi katika
zahanati hiyo wilayani Bunda.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa. akikagua mashine za kusukuma maji wakati
alipoembelea mradi wa chanzo cha maji Bunda akiwa katika ziara ya mkoa
wa Mara.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua ushirika wa Igembe Sabo wilayani Bunda
akiwa katika ziara ya mkoa wa Mara.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwakabidhi hati ya usajili wa chama viongozi
wa chama cha ushirika cha Igembe Sabo cha Bunda , Malongo Mashimo
ambaye ni Katibu (kulia) na Maria Nengwa ambaye ni Mwenyekiti wa Ujenzi
baada ya kuzindua ushirika huo akiwa katika ziara ya mkoa wa Mara.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269