Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed, akiendelea na ziara yake katika Nchini za
Umoja wa Falme za Nchi Kiarabu UAE, akitembelea Kiwanda cha Samaki
Sharjah East Fishing Prosessing, kujionea utaalamu wa kuhifadhi samaki
na kusafirishwa nje
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo kutoka kwa
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo K.V.Thomas jinsi ya kuhifadhi samaki na
ufanyaji wa peki kwa ajili ya kusafirisha
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo ya utayarishaji wa
Kambo hadi kupekiwa kwa ajili ya kusafirishwa nje ya Nchi na katika Soko
la ndani akiwa katika ziara yake katika Nchi za Umoja wa Nchi za Falme
za Kiarabu UAE
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo ya picha katika
gazeti la kiwanda hicho kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Sharjah East
Fishing Processing K.V.Thomas , akiwa katika ziara ya Kiserikali katika
Nchi za Umoja wa Nchi za Kiarabu UAE

la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa
Kiwanda cha Sharjah East Fishing Processing K.V.Thomas, bada ya kumaliza
ziara yake kutembelea kiwanda hicho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa mfano Jahazi na
Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Sharjah East Fishing Processing
K.V.Thomas, baada ya kumaliza ziara yake kutembelea kiwanda hicho.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269