Breaking News

Your Ad Spot

Jan 21, 2010

FRANCIS CHEKA NA MATUMLA WAPATA ULAJI MWAKA MMOJA

 BONDIA Francis Cheka (kulia) na Mbwana Matumla (kulia) wamepata mkataba wa mwaka mmoja na Meneja wao Juma Ndabile  ambapo pamoja na mambo mengine atawatafutia makocha na mapambano mbalimbali. Pichani, Cheka akizungumza kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari (Maelezo) Dar es Salaam, kuhusu mkataba huo



No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages