Breaking News

Your Ad Spot

Jan 21, 2010

SIMBA WA VITA AZIDI KUOMBOLEZWA: SERIKALI YAIPA FAMILIA SH, MILIONI 24.2 ZA MICHANGU YA RAMBIRAMBI ZA WADAU (HABARI KATIKA PICHA)

Nyumbani kwa Simba wa Vita, Marehemu Mzee Rashid Mfaume Kawawa, kijijini Madale nje ya jiji la Dar es Salaam.




WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu  na Bunge, Philip Sang'ka Marmo akisaini kitabu cha maombolezo baada ya kuwasili nyuumbani kwa Simba wa Vita.
 WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, Philip Sang'ka Marmo aakimkubatia kumpa pole mtoto wa Simba wa Vita, Mzee Rashidi Kawawa, Vita Kawawa baada ya kuwasili nyuumbani kwa Simba wa Vita.


WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, Philip Sang'ka Marmo akimsalimia mke wa Vita Kawawa, Siwa Kawawa baada ya kuwasili nyuumbani kwa Simba. Katikati ni Vita Kawawa.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, Philip Sang'ka Marmo akitoa heshima kwenye kaburi alimozikwa Simba wa VIta Mzee rashidi Kawawa, baada ya kuwasili nyuumbani kwa Simba. Katikati ni Vita Kawawa.



WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, Philip Sang'ka Marmo akimkabidhi mfuko wenye  sh. milioni 24' 2 kwa binti wa Siumba wa Vita, Mzee Kawawa, Rehema Kawawa,  i nyuumbani kwa Simba. Katikati ni Vita Kawawa. Kulia ni Vita Kawawa. kwamujibu wa Marmo fedha hizonimichango ya rambi rambi za Mawaziri, Wakuu wa mikoa, wilaya, Taasisi za Umma na Ofisi za CCM za mikoa wilaya na baadhi ya matawi ya Chama.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages