Breaking News

Your Ad Spot

Jan 21, 2010

ZIARA YA RAIS SHINYAANGA


Rais Jakaya  Kikwete akimkabidhi ufunguo wa trekta ya mkopo Abdallah Thani, mkulima wa Lalago wilayani Maswa wakati wa hafla ya uzinduzi wa programu ya Kilimo kwanza wilayan humo, koani Shinyanga. Katika hafla hiyo matrekta kadhaa na power tillers yalikabidhiwa kwa wakulima kwa mkopo nafuu chini ya ufadhilki wa kampuni ya Al Adawi.
Rais Jakaya  Kikwete akiangalia wananfunzi wa shule mpya ya Sekondari ya Masengwa katika wilaya ya Shinyanga wakifanya jaribio la kisayansi baada ya Rais  kuifungua rasmi shule hiyo jana mchana.Shule hiyo imejengwa kwa ufadhili wa kampuni ya uchimbaji dhahabu ya Barrick Gold inayomiliki mgodi wa Buzwagi mkoani ShinyangaRais Jakaya Kikwete akikagua moja ya marasa katika shule mpya ya sekondari ya Masengwa wilayani Shinyanga , baada ya kuifungua rasmi jana mchana.
Mwenyekiti Mstaafu wa UWT Mkoa wa Shinyanga na mmoja wa waasisi wa CCM, Jennyrose Kigola akimsalimia kwa hisia Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya  Kikwete  baada ya kuwasili Ikulu ndogo mkoani Shinyanga jana .Kushoto  ni mke wa Rais MamaSalma.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages