Breaking News

Your Ad Spot

Jan 20, 2010

STANBIC BANK YATOA MILIONI 1.3 NA TIKETI KWA MSHINDI WA CONNECT, SCORE & WIN


MKUU wa masoko wa Benki ya Stanbic, Abdallah Singano na Meneja wa benki hiyo, Lilian Kitomari wakimkabidhi tiketi na dola 1,000 za Marekani (Sh.milioni 1.3) mkazi wa Tabata, Severine Mtikile kwa ajili ya yeye na mwanaye Brighon Severe (wa pili kulia) kwenda Angola kushuhudia robo fainali ya michuano ya fainali za Kombe la Mataifa ya Africa (CHAN),baada ya kushinda shindano la la'Connect, Score & Win'lililokuwa linaendeshwa na benki hiyo kwa wateja wake. Hafla ilifanyika leo makao makuu ya Stanbic, Dar es Salaam.
MTOTO Brighton Severe (11) akizungumza na waandishi wa habari baada ya baba yake Severe Mtikile (kushoto) kukabidhiwa tiketi na dola 1,000 za Marekani kwa ajili ya kwenda Angola kushuhudia robo fainali ya michuano ya CHAN,leo
                              Meneja wa Stanbic Bank, Lilian Mtali Kitomari akifanya mambo fulani wakati wa kukabidhi tiketi na fedha kwa mshindi huyo.
                                   Meneja wa Stanbic Bank, Lilian Mtali Kitomari baada ya kukabidhi fedha na tiketi kwa mshindi huyo.
                                      
ABDALLAH Singano ambaye ni Mkuu wa Masoko wa Stanbic Bank, baada ya kukabidhi fedha na tiketi kwamshindi leo.

Chachandu-Daili inaitakia mafanikio makubwa zaidi Stanbic Bank, na kuwatakiwa safari poooa Severine na mwanaye Brighton nchini Angola kushuhudia kipute hicho cha CHAN




1 comment:

  1. [url=http://www.001casino.com]casino[/url]
    let go casino perquisite [url=http://www.realcazinoz.com]free casino bonus[/url] games [url=http://cd-online-casino.co.uk]casino online[/url] [url=http://www.the-gambling-city.net]casino en ligne[/url]

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages