Breaking News

Your Ad Spot

Jan 19, 2010

DAWASCO YACHARUKA; SASA YATUMIA MAJEMBE KUKABILI WADAIWA SUGU WA ANKARA ZA MAJI



MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Majembe, Seth Motto akiongoza ukataji bomba lamaji kwenye jengo la Fazal & Co, Kariakoo, Dar es Salaam, jana, Majembe kwa kushirikiana na Kampuni ya Maji safi na Majitaka mkoa wa Dar es Salaam na baadhi ya maeneo ya mkoa wa Pwani (Dawasco) walipofanya operesheni kata maji kwa wadaiwa sugu katika Manispaa ya Ilala.Ofisa Uhusiano wa Dawasco Mary Lyimo alisema deni la maji katika jengo hilo ni sh. milioni 2.3

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages