Breaking News

Your Ad Spot

Jan 17, 2011

BAADA YA KIPIGO CHA ZANZIBAR, PAPIC USO KWA USO NA PHIRI

KOCHA wa Simba, Patrick Phiri na Kocha wa Yanga Costadin Papic, waki-chati nje ya  hoteli ya Movenpick mjini Dar es Salaam, leo wakati wa mkutano wa timu hizo kucheza kwa nyakati tofauti na timu ya Atletico, Yanga itacheza kesho na Simba keshokutwa. Picha kutokaBlogu ya  Fullshangwe

1 comment:

  1. Ndio `mpira' na `ushabiki' pembeni kwanza, au sio, tunapanga `uzalendo kwanza' hii safi!

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages