KOCHA wa Simba, Patrick Phiri na Kocha wa Yanga Costadin Papic, waki-chati nje ya hoteli ya Movenpick mjini Dar es Salaam, leo wakati wa mkutano wa timu hizo kucheza kwa nyakati tofauti na timu ya Atletico, Yanga itacheza kesho na Simba keshokutwa. Picha kutokaBlogu ya Fullshangwe
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

Ndio `mpira' na `ushabiki' pembeni kwanza, au sio, tunapanga `uzalendo kwanza' hii safi!
ReplyDelete