.

MREMBO ASAIDIA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI

Apr 1, 2011

Miss Progress International, ambaye pia ni Mkurugenzi wa Progressive Foundation, Julieth William, akimkabidhi msaada wa Sh. Milioni 1.4 mtoto Maria Raulian,  kwa niaba ya watoto wenzake wenye ulemavu wa ngozi kwa ajili kusaidia kununua mavazi ya shule (Uniform) za watoto 30 wanaosoma shule za msingi, hafla hiyo ya makabidhiano ilifanyika jijini Dar es Salaam leo. Katikati ni Mwakilishi wa Ofisa Ustawi wa Jamii wa Manispaa ya Ilala, Rachel Katemi. (kushoto) ni Mwenyekiti wa Chama cha Albino Wilaya ya Ilala, Seif Ulate.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช