.

JK AKUTANA NA WATAALAM WA MIFUMO MIKUBWA YA UMWAGILIAJI MASHAMBA

Apr 7, 2012


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na viongozi wa Kampuni inayoshughulika na mifumo mikubwa ya umwagiliaji mashamba kutoka India ya Jain Irrigation Systems ikulu jijini Dar es Salaam jana.Wapili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo Bwana Atul Jain watatu kulia ni Mwakilishi wa Kampuni hiyo nchini Tanzania Bi.Rupa Suchak na kushoto ni Naibu mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Jain Bwana Sharma.(picha na Freddy Maro).

1 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช