Breaking News

Your Ad Spot

Jun 15, 2014

MTEMVU AIPAISHA CCM TEMEKE, AINGIZA VIJANA 300 UVCCM, ASIMIKA MAKAMANDA WA MATAWI MATANO

Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu akizindua shina la wakereketwa wa CCM, Mtaa wa Keko A, akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa chama kwenye jimbo lake, katika Kata ya Miburani, Dar es Salaam, Jumamosi, Juni 14, 2014
Mtemvu akimpa msaada wa sh. milioni 1 Katibu wa Jumuia ya Wazazi Keko Machungwa A, Kata ya Miburani, Kulwa Kasim, baada ya kuzindua shina la wakereketwa Keko Machungwa wakati wa ziara hiyo
Mtembu akienda kwenye eneo lingine la tukio, baada ya kuzindua tawi hilo la Keko Machungwa A
Mtemvu akizindua shina la wakereketwa wa UVCCM Masansati Kata ya Miburani wakati wa ziara hiyo.
 Mtemvu akisalimiana na vijana baada ya kuzindua shina lao la wakereketwa la Uwanja wa Taifa akiwa katika ziara hiyo
Vijana wa hamasha wakicheza kwaito kwenye Viwanja vya CCM Miburani kabla ya Mtemvu kuhutubia mkutano wa hadhara mwishoni mwa ziara hiyo
  Wadau wakijimwayamwaya kwenye viwanja hivyo
 Mtemvu akimtawaza ukamanda wa UVCCM tawi la Keko Machungwa A, Kada wa CCM Anatoly Shiyo wakati wa mkutano wa Viwanja wa Miburani
Kada wa CCM, Ali Nanjundu akivishwa ukamanda wa Keko Machungwa B wakati wa mkutano huo
Kada wa CCM, Concepta Kadura akivishwa ukamanda wa Miburani wakati wa mkutano huo
Kada wa CCM, Abeid Mvuma akivishwa ukamanda wa tawi la Uwanja wa Taifa wakati wa mkutano huo wa Mtemvu Kata ya Miburani
Kada wa CCM, Christopher Njau akivishwa ukamanda wa ktawi la Wailes wakati wamkutano huo
Mtemvu akiwa katika picha ya pamoja na Makamanda hao wapya wa matawi katika kata ya Miburani baada ya kuwatawaza wakati wakutano huo. Picha zote na Bashir Nkoromo-theNkoromo Blog

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages